0%
Bei baada ya kuelewa mahitaji

Inajumuisha
- Kuelewa michakato ya biashara
- Usanifu wa mfumo na workflows
- Ujenzi wa dashboard au internal tool
- Database na API integration
- Automation ya kazi zinazojirudia
- Mafunzo, nyaraka na chaguo za support

Inafaa Kwa
- Kampuni zinazobadilisha spreadsheets
- Biashara zenye operations nyingi
- Logistics, finance, elimu na timu za huduma
- Kampuni za Afrika Mashariki zinazojenga mifumo ya kidijitali

Bei
Bei baada ya kuelewa mahitaji

Una mradi akilini?

Tueleze malengo yako na tutakutumia pendekezo lililotengenezwa maalum.

Wasiliana nasiWasiliana nasi
Zinazohusiana

Other services

Tovuti Static - Kifurushi Kidogo

Tovuti rahisi, ya haraka na ya gharama nafuu kwa biashara mpya, huduma binafsi, portfolio na ukurasa wa kampuni unaohitaji uwepo wa mtandaoni Tanzania.
Angalia Maelezo

Tovuti Static - Kifurushi cha Kati

Tovuti ya kurasa nyingi kwa biashara inayohitaji kuonyesha huduma, timu, miradi, ushahidi wa wateja na mawasiliano kwa njia ya kitaalamu.
Angalia Maelezo

Tovuti Static - Kifurushi Kikubwa

Tovuti ya kiwango cha juu kwa kampuni inayotaka muonekano imara, kurasa nyingi, SEO bora na msingi wa ukuaji wa kidijitali Afrika Mashariki.
Angalia Maelezo