0%
Kuanzia TZS 1,000,000

Inajumuisha
- Ukaguzi wa vyanzo vya data
- Kupanga KPIs na muundo wa ripoti
- Ubunifu wa dashboard
- Mwongozo wa kusafisha data kutoka spreadsheets, database au apps
- Templates za ripoti za kila mwezi
- Mapendekezo ya insights na maamuzi

Inafaa Kwa
- SMEs zinazofuatilia mauzo na operations
- Shule, kliniki na biashara za huduma
- E-commerce na timu za marketing
- Viongozi wanaohitaji dashboards rahisi kuelewa

Bei
Kuanzia TZS 1,000,000

Una mradi akilini?

Tueleze malengo yako na tutakutumia pendekezo lililotengenezwa maalum.

Wasiliana nasiWasiliana nasi
Zinazohusiana

Other services

Tovuti Static - Kifurushi Kidogo

Tovuti rahisi, ya haraka na ya gharama nafuu kwa biashara mpya, huduma binafsi, portfolio na ukurasa wa kampuni unaohitaji uwepo wa mtandaoni Tanzania.
Angalia Maelezo

Tovuti Static - Kifurushi cha Kati

Tovuti ya kurasa nyingi kwa biashara inayohitaji kuonyesha huduma, timu, miradi, ushahidi wa wateja na mawasiliano kwa njia ya kitaalamu.
Angalia Maelezo

Tovuti Static - Kifurushi Kikubwa

Tovuti ya kiwango cha juu kwa kampuni inayotaka muonekano imara, kurasa nyingi, SEO bora na msingi wa ukuaji wa kidijitali Afrika Mashariki.
Angalia Maelezo