0%
Kuanzia TZS 2,000,000

Inajumuisha
- Mpango wa duka la mtandaoni
- Catalog ya bidhaa na categories
- Cart, oda na inquiry flow
- Malipo au oda kupitia WhatsApp
- Admin ya kusimamia bidhaa
- Kurasa za bidhaa zilizo tayari kwa SEO

Inafaa Kwa
- Maduka ya retail
- Wauzaji wa urembo, mitindo na electronics
- Biashara za chakula na delivery
- SMEs zinazouza Tanzania na Afrika Mashariki

Bei
Kuanzia TZS 2,000,000

Una mradi akilini?

Tueleze malengo yako na tutakutumia pendekezo lililotengenezwa maalum.

Wasiliana nasiWasiliana nasi
Zinazohusiana

Other services

Tovuti Static - Kifurushi Kidogo

Tovuti rahisi, ya haraka na ya gharama nafuu kwa biashara mpya, huduma binafsi, portfolio na ukurasa wa kampuni unaohitaji uwepo wa mtandaoni Tanzania.
Angalia Maelezo

Tovuti Static - Kifurushi cha Kati

Tovuti ya kurasa nyingi kwa biashara inayohitaji kuonyesha huduma, timu, miradi, ushahidi wa wateja na mawasiliano kwa njia ya kitaalamu.
Angalia Maelezo

Tovuti Static - Kifurushi Kikubwa

Tovuti ya kiwango cha juu kwa kampuni inayotaka muonekano imara, kurasa nyingi, SEO bora na msingi wa ukuaji wa kidijitali Afrika Mashariki.
Angalia Maelezo